Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Iringa Ndg.Sinkala Mwenda amepata ajali jana jioni eneo la Tanangozi na kukimbizwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu. Alifariki dunia muda mfupi wakati madaktari wakijitahidi kuokoa uhai wake. Pumzika kwa amani Kamanda Sinkara.! Habari zaidi tutaendelea kuwapatia.
WAMERUDI NYUMBANI BINADAMU ALIPOANZIA
-
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro.
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB Bank Plc kutoka mataifa ya Burundi,
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Falme za Kiar...
0 comments:
Post a Comment