ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, April 5, 2016

MAGAZETI YA APRIL 5>ODINGA: MAGUFULI ANA MAONO MAPYA. MREMA ABWAGA MANYANGA. TAKUKURU YAJITOSA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI


Odinga: Magufuli ana maono mapya. TAKUKURU yajitosa migogoro ya wakulima, wafugaji. Mrema abwaga manyanga.

JPM aweka tena historia. CUF wamkataa Rais Shein, watoa maazimio 13. Kinara dawa za kulevya ageuka tishio kwa magereza.

Mvua yakata mawasiliano Dodoma. Kamati ya bunge yainyooshea kidole TCRA. Baraza la madiwani Tanga vurugu tupu.Chanjo ya saratani kuanza kutolewa. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.