|
Balozi wa
Samsung, Elizabeth Kimaro (katikati) akizungumza na wateja wakati wa Promosheni
ya toleo jipya la simu ya Samsung Galaxy S7 Mlimani City Dar es Salam wishoni
mwa wiki.Simu hiyo inapatikana katika maduka ya Samsung Nchini kwa sasa. |
|
Balozi wa
Samsung, Elizabeth Kimaro (katikati) akizungumza na wateja wakati wa Promosheni
ya toleo jipya la simu ya Samsung Galaxy S7 Mlimani City Dar es Salam wishoni
mwa wiki.Simu hiyo inapatikana katika maduka ya Samsung Nchini kwa sasa. |
|
Balozi wa
Samsung, Jesca Abbas (kulia) akizungumza na wateja wakati wa Promosheni ya
toleo jipya la simu ya Samsung Galaxy S7 Mlimani City Dar es Salam wishoni mwa
wiki.Simu hiyo inapatikana katika maduka ya Samsung Nchini kwa sasa. |
|
Moja ya
wateja wa Samsung Galaxy S7 akiangalia muvi(video) kwa kutumia kifaa maalum,
Gear VR wakati wa Promosheni ya toleo jipya la simu ya Samsung Galaxy S7
Mlimani City Dar es Salam wishoni mwa wiki.Simu hiyo inapatikana katika maduka
ya Samsung Nchini kwa sasa. |
|
Wateja
mbalimbali wakipata maelekezo ya kina toka kwa mabalozi wa Samsung Galaxy S7
wakati wa Promosheni ya simu hiyo inayoendelea Mlimani City jijini Dar es
Salaam. Simu hiyo inapatikana katika maduka ya Samsung Nchini kwa sasa. |
|
Wateja
mbalimbali wakipata maelekezo ya kina toka kwa mabalozi wa Samsung Galaxy S7
wakati wa Promosheni ya simu hiyo inayoendelea Mlimani City jijini Dar es
Salaam. Simu hiyo inapatikana katika maduka ya Samsung Nchini kwa sasa. |
|
Mabalozi wa
Samsung Galaxy S7 wakipata picha (Selfie) kwa kutumia simu ya Samsung Galaxy S7
wakata Promosheni ya simu hiyo inayoendelea Mlimani City jijini Dar es Salaam. Simu hiyo inapatikana katika maduka ya
Samsung Nchini kwa sasa. |
Kuwa kwanza kumiliki
Samsunga Galaxy S7.
Na Mwansishi
Wetu.
KAMPUNI ya Samsung Nchini imeingiza sokoni simu mpya
ya Samsung Galaxy S7 yenye vivutio lukuki vya kukufanya Dunia uione iko
kiganjani.
Akizungumza
na waandishi wa habari Meneja mafunzo wa bidhaa za Samsung, Julius Giabe mara
baada ya uzinduzi alisema simu ya Samsung Galaxy S7 ni toleo jipya ambalo kwa
sasa inapatikana madukani kote nchini.
Amewaomba
watanzania wajitokeze kununu simu hiyo yenye ubora wa hali ya juu kwani
imeboreshwa zaidi kulingana na tekinolojia ya sasa.
Alisema Julius Samsung Galaxy S7 imeboreshwa zaidi
kwenye upande wa Camera kwani ina Mega Pixel 12 zilizoboreshwa zaidi kiasi
ambacho unaweza kupata picha au Video nzuri zaidi.
Kioo chake
kizuri cha kuvutia na inazuia vumbi na Maji kwa muda wa dakika 30 ndani y maji.
Julius
alisema, Samsung Galaxy S7 inakaa na chaji kwa muda mrefu sana na hata ikiisha
chaji inauwezo wa kuichaji bila kuchomeka kwenye Umeme(Wireless charging)
Julius
alimaliza kwa kuwaomba watanzania tusikose kumiliki simu ya Samsung Galaxy S7
ukakosa mambo mazuri katika teknolojia hii ya kisasa ambayo Dunia yote iko
Kiganjani mwako.
Kwa wakazi
wa Dar es Salaam tutembelee Mlimani City ambapo promosheni ya Samsung Galaxy S7
inaendelea,upate kwa undani ubora wa simu hiyo.
“Kuwa wa
kwanza kumiliki simu ya Samsung Galaxy S7”.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.