ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, April 16, 2016

DR. JEMBE AMWAGA MADINI YA UZOEFU KATIKA UJASILIAMALI KWA WANAZUONI CHUO KIKUU CHA MT. AGUSTINO MWANZA

Mtaalamu wa masuala ya Afya ya jamii ambaye pia ni mjasiliamali, Mkurugenzi na mmiliki wa Jembe Media Group Dr. Sebastian Ndege akizungumza na wanafunzi wa Chuo Cha Mtakatifu Agustino Mwanza ikiwa ni sehemu ya kuwajenga wanafunzi hao na kuwapa mbinu mbalimbali kukabiliana na soko la ajira na kujiajiri. Mafunzo hayo yamekuja kama safari kuelekea Tamasha kubwa la Burudani la JEMBEKA FESTIVAL linalotarajiwa kufanyika 21/05/2016 katika uwanja wa CCM Kirumba ambapo mafunzo hayo yamekuja kama sehemu ya kurejesha kwa jamii chini ya Udhamini wa Vodacom Tanzania.
Wakisikiliza kwa umakini ni sehemu ya wanafunzi wa Chuo Cha Mtakatifu Agustino Mwanza ndani ya semina inayotolewa na Jembe Media Group ikiwa ni sehemu ya kuwajenga wanafunzi hao na kuwapa mbinu mbalimbali kukabiliana na soko la ajira na kujiajiri.
Mtaalamu wa masuala ya Afya ya jamii ambaye pia ni mjasiliamali, Mkurugenzi na mmiliki wa Jembe Media Group Dr. Sebastian Ndege akizungumza na wanafunzi wa Chuo Cha Mtakatifu Agustino Mwanza ikiwa ni sehemu ya kuwajenga wanafunzi hao na kuwapa mbinu mbalimbali kukabiliana na soko la ajira na kujiajiri. Mafunzo hayo yamekuja kama safari kuelekea Tamasha kubwa la Burudani la JEMBEKA FESTIVAL linalotarajiwa kufanyika 21/05/2016 katika uwanja wa CCM Kirumba ambapo mafunzo hayo yamekuja kama sehemu ya kurejesha kwa jamii chini ya Udhamini wa Vodacom Tanzania.
Kwa umakini.

SAUTISO.
Kuna jambo limewagusa hapa....
Mifano halisi nayo ilitumika ili kufikisha ujumbe.
Mwambie na mwenzio.
Ili kufikia malengo......misingi iliainishwa.
Mtaalamu wa masuala ya Afya ya jamii ambaye pia ni mjasiliamali, Mkurugenzi na mmiliki wa Jembe Media Group Dr. Sebastian Ndege akizungumza na wanafunzi wa Chuo Cha Mtakatifu Agustino Mwanza ikiwa ni sehemu ya kuwajenga wanafunzi hao na kuwapa mbinu mbalimbali kukabiliana na soko la ajira na kujiajiri. Mafunzo hayo yamekuja kama safari kuelekea Tamasha kubwa la Burudani la JEMBEKA FESTIVAL linalotarajiwa kufanyika 21/05/2016 katika uwanja wa CCM Kirumba ambapo mafunzo hayo yamekuja kama sehemu ya kurejesha kwa jamii chini ya Udhamini wa Vodacom Tanzania.
Shukurani kutoka kwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Mwanza.
Tumefanikisha.
"PAMOJA SANA" ni Familia ya Jembe Media Group, kutoka kushoto ni Mr. Eliudi Kagema, Emmanuel na Dj K. Flip, wakati aliyesimama nyuma ni Dj Mike Beats. 
Kwa mfano.
Darasa.
Bango.
Mtaalamu wa masuala ya Afya ya jamii ambaye pia ni mjasiliamali, Mkurugenzi na mmiliki wa Jembe Media Group Dr. Sebastian Ndege akipata picha ya pamoja na Viongozi Serikali ya wanafunzi wa Chuo Cha Mtakatifu Agustino Mwanza.
Mhadhili wa Chuo Cha SAUTI Father Maziku (katikati aliye chomekea) katika picha ya pamoja na Viongozi Serikali ya Wanafunzi .
Jembe Media na SAUTISO.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.