Daniel kijo ndani ya boys boys season 5
Boys boys ni kipindi kinachorushwa na Tv1 Tanzania kinachokutanisha
wanaume na kuzungumza mambo mbali mbali kama mahusiano, elimu, afya,
uchumi biashara na mengine mengi. Mbali na hayo unapata fursa ya kuona
magari makali , sehemu nzuri za wanaume kupata kinywaji na kupumzika bila
kusahau gadgets kali kabisa.
Mtangazajibwa season ya tano atakuwa ni Daniel kijo ambaye ameweza kutumia
ujuzi na elimu yake kuboresha na kupanua ufanisi wake katika taaluma ya
utangazajaji. Ametumikia jamii katika sekta mbali mbali, lakini
kipaumbele chake nikukufikia wewe mtazamaji. Kaa tayari Kwa muonekano mpya
wa msimu mpya wa show ya "boys boys" ikiletwa kwenu na Daniel Kijo
Ijuma hii kipindi cha kwanza msimu wa tano kitaruka saa 2.30 usiku na
atakuwepo Godwin Gondwe, Bikira wa Kisukuma na Harmonize wakijadili namna
ya kupata mwanamke mwenye kipato zaidi yako.
Usikose!!
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.