ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, April 3, 2016

BUNDA EXPPRESS YAPATA AJALI YAJERUHI 10 VIBAYA.

Watu 10 wajeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya Bunda Express lilikuwa likitokea Musoma kwenda mwanza kupata ajali.


Serengeti Boys Yainyuka Misri

Timu ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 18 Serengeti Boys imefanikiwa kuichakaza Misri kwa kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa 1.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.