![]() |
| Chipukizi vijana wa CCM wakimvisha skafu kiongozi huyo mara baada ya kutua Mwanza. |
![]() |
| Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu majaliwa akisalimiana na Askofu Zenabious Isaya. |
![]() |
| Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu majaliwa akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Mhe. James Bwire. |
![]() |
| Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu majaliwa akisalimiana na Mhe. Mbuge wa Jimbo la Nyamagana Stanslaus Mabula. |
![]() |
| UWT Mwaza ilipata heshima kubwa. |
![]() |
| UWT Mwanza ana kwa ana na Mhe. Waziri Mkuu. |
![]() |
| UVCCM Mwanza. |
![]() |
| Kiongozi. |
![]() |
| Kikazi zaidi. |
![]() |
| Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu majaliwa akisalimiana na Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Mwanza Bi Ester Madale. |
![]() |
| Kikundi cha ngoma asili toka Bujora. |
![]() |
| Daaaaaaaah. |
![]() |
| Burudani asdimu. |
![]() |
| Kundi la ulinzi shirikishi kutoka katika jamii Sungusungu toka wilaya ya Magu. |
![]() |
| Karibu. |
![]() |
| Waadishi wa Habari baada ya mapokezi. |
Tupe maoni yako

























0 comments:
Post a Comment