Tupe maoni yako
Sunday, March 13, 2016
UFISADI BUNDA WADAU WAFYEKA HADI FEDHA ZA UJENZI WA MOCHWARI.
Zaidi ya shilingi milioni 600 zilizotolewa na Rais wa awamu ya 4 kwa ajili ununuzi wa gari la wagonjwa wilayani Bunda zaelezwa kutumika kinyume na malengo huku TAKUKURU ikitakiwa kufanya uchunguzi wa kina na kuwafikisha wahusika mahakamani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment