Timu ya Simba yaitandika timu ya Mbeya City kwa jumla ya goli 2-0 katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliofanyika hii leo jijini Dar es Salaam Benchi la ufundi la timu ya taifa ya soka ya wanawake Twiga Stars limesema Twiga Stars bado inanafasi kubwa ya kusonga mbele katika michuano ya awali ya kuwania. nafasi ya kushiriki michuano ya Afrika kwa wanawake
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment