Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli alipita mkoani Mwanza kuelekea Chato mkoani Geita kwaajili ya mapumziko mafupi ...Lakini Rais huyo akiwa katika uwanja wa ndege wa Mwanza ulioko wilayani Ilemela alihusika na matukio kadhaa yaliyoacha simulizi ambayo ndani yake yametengeneza historia kwa waliopata kuwa viongozi wa Taifa hili la Tanzania.BOFYA PLAY KUSIKILIZA TAARIFA KAMILI.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.