wageni wa alikwa wakiwa wanashangilia ndani
ya kiota kipya cha BATA VILA LOUNGE kilichopo sakina jijini
Arusha wanakwambia apa ni fuluuuu Bata kwa kwenda mbele
ulikuwa ni usiku wa staree tu ndani ya bata vila
loungle sakina wanakuambia njoo usikilize mziki laini na wa
kistaarabu
chezea mtu na shemeji yake wewe nao
walikuwa wanapata raha ndani ya ukumbi mpya wa bata vila sakina ni
shidaaaaaaaaaaaaaa
BATA VILA lounge utakutana na
wadada wa kila aina wadada watanashati wadada wa ukweli na wanawake
wote wa nguvu
walikutana pia waliokuwa
awajaonana mda mrefu ndani ya ukumbi huu wanakwambia
staree ni mpaka ukimbie mwenyewe ni kuanzia jumatatu hadi
jumatatu
mkurugenzi wa Libeneke la kaskazini
blog kati kati woinde shizza akiwa na wadau ndani ya Bata
Vila Lounge kwa sasa hivi ndio habari ya A-Town ni shida
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.