Majambazi wavamia benki wakiwa na silaha na mabomu, Mabosi taasisi ya elimu watumbuliwa, Polisi auwawa, ni Arsenal vs Manchester united leo. Tazama magazeti ya leo. Ukawa waituhumu CCM uchaguzi wa Meya Dar, Maafisa taasisi ya elimu watumbuliwa, Majambazi wavamia benki na kuua 7. Furahia uchambuzi wa magazeti.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment