ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, February 3, 2016

TEKNO MILES, SEYI SHAY, OMMY DIMPOZ, JUMA NATURE, JJ BAND NA WENGINE KUKISANUKISHA MKESHA WA VALENTINES JEMBE BEACH MWANZA

St8Up Vibes Na Jembe Ni Jembe Wanawaletea bonge la Show la kipekee Na Hii ni Nyingine Ya Kihistoria. Haijawahi Kutokea. Ndani Ya Jiji La Maraha Na Samaki Sato,Rock City Mwanza. Ni Ujip wa Wanaijeria Wawili Kwa mpigo,Its a Double Impact! Tekno Mzee Wa Duro Na Mwanadada Mkali SayiSha. Ni kwenye Kiwanja Kikali cha #jembebeach ,Siku Nzuri Ya Jumamosi Mkesha wa Valentines.

Njoo Na wale Uwapendao Tusherekee Upendo Na Super Music and Perfomance from Top Nigerians Live At Jembe Beach. Ni balaa zaidi Ya Zaidi Live on stage From Tanzania, Ommy Dimpoz,Juma Nature Na JJ Band.

Show itaanza Saa Moja Kamili. Red Carpet Na Super Stars Treatment!Ma suprise Kibao..guess Nani Mwngine Atakuwepo..! Sikiliza 93.7Jembe Fm Mwanza, Utajua mengi. Viingilio 10k na 30K for VIP. Get your ticket Mapema Maana Utakosa Nafasi! Waambue Na wenIo wengi pls Tag and Repost for Support.Its #MuzikaFestival Its all About Good Vibes.

Tag watu wa Mwanza..Good people Hii Kwa ajili Yenu Tena! @teknoofficial @jembenijembe @team_tekno @snipermantana @jembefm @gsengo @dvjfrank @jembedjz @bobwhite_pamba @usipojipangantakupanga @wemasepetu @wemadaily @lemutuz_nation

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.