Timu ya Azam FC yalazimishwa sare tasa na timu ya Prisons ya jijini Mbeya katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliofanyika hii leo jijini Mbeya. Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akili timu yake kuzidiwa maarifa na wapinzani wao klabu ya Barcelona katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani ulaya uliomalizika kwa Arsenal kufungwa goli 2-0
NEMC YAFUTURISHA SERENA
-
-Mwanasheria Mkuu wa Serikali -Mgeni rasmi
-Aahidi Ushirikiano wa Kisheria katika Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira
Nchini*
Baraza la Taifa la Hifadhi n...
0 comments:
Post a Comment