Tupe maoni yako
Sunday, February 14, 2016
MUFTI ARUHUSIWA MUHIMBILI.
Mufti mkuu wa Tanzania aruhusiwa kutoka katika taasisi ya moyo ya Dr.Jakaya Kikwete ya Muhimbili jijini Dar es salaam baada ya kulazwa na kufanyiwa upasuaji huku akimshukuru rais Magufuli na madaktari waliomhudumia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment