ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, February 5, 2016

MATUKIO YALIYOJIRI LEO BUNGENI.



Miradi Ya Maji

Mhe. Suleiman Jafo atoa ufafanuzi juu ya miradi ya maji nchini iliyofadhiliwa na serikali ili kuondoa adha ya maji kwa wananchi.

Mbunge wa Momba Mhe. Ernest Silinde ahoji serikali juu ya hatua iliyofikiwa katika utatuzi wa kero ya ushuru mkubwa vizuizini.

Waziri wa viwanda Biashara na uwekezaji Mhe. Charles Mwijage atoa tathmini juu ya viwanda na mashamba ya serikali yaliyobinafsishwa.

Naibu waziri wa kilimo, kilimo, mifugo na uvuvi awasilisha hatua zilizochukuliwa kukabiliana na changamoto za mkulima wa tumbaku.

Je serikali ina mpango gani wa kuwalinda na kuwahakikishia usalama watu wenye ulemavu wa ngozi? Waziri wa mambo ya ndani ajibu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.