ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, February 1, 2016

MAMBO YA JANA JEMBE BEACH NA SUNDAY BONANZA.

JJ Band wakikisanukisha ndani ya Jembe Beach Mwanza, katikati (mwenye kipaza) ni Zarry Edosha akishow love kwa rafiki zake naye shabiki akipata mzuka.
The style.
Drummer boy ....
Zile mbavu za mbwa zinatumikishwa na jamaa huyu.
Shabiki akimtuza Zarry Edosha mara baada ya kumkosha kwa muziki full lever.
Pamoja sana.
Hatarii.
Mundende matelebende.
Solo list.
Kosha kosha.
Dunda dunda za JJ Band ndani ya Jembe Beach Malimbe Mwanza jana Jumapili katika Sunday Bonanza.
Nyataaaaa.
Dunda dunda za JJ Band.
Mkaanga chips.
Popolipo January Eleven, Abby Solo na Shabiki namba moja wa kizazi kijacho JJ Band.
Stape.
Marafiki wa JJ Band wenye kusherehekea siku zao za kuzaliwa hupata shavu kupanda stage moja na JJ Band na kufanya yao.
Rais wa JJ Band January Eleven akilishwa keki na m-bazdeiwa huku Mc Dvj Frank akiongoza mpango huo.
Maua Classic.
Watu na watu wao...katika round table ni marafiki ambao hawakuikwepa kamera ya G.Sengo Blog.
JAPO KIPANDE CHEKSHIA KIDEO HAPA CHINI KWA YALIYOJIRI JUKWAANI  YALIYOJIRI.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.