ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, January 26, 2016

MAGAZETI YA LEO LUNINGANI.

Rais Magufuli atumbua NIDA, mabalozi nje. Uchaguzi wa mwenyekiti, makamu mwenyekiti Kilombero wazua tafrani.

Mkurugenzi manispaa ya Dodoma ashushwa cheo. Watatu wasimamishwa kazi NEMC. Sambali ateuliwa kukaimu ukurugenzi TAA.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.