Bwana Harusi Masoud Masoud akimwekea mkewake Amina Mtemvu mkono kichwani wakati wa harusi yao iliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee VIP Holl.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Biharusi Amina Mtemvu katika pozi
Rais
Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiagana na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la
Temeke wakati wa hafla ya ya harusi ya Amina Mtemvu iliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP) Holl, Dar es Salaam
Bwana Harusi Masoud Masoud
Bi harusi Amina Mtemvu akiwa katika tabasamu baada ya hafla ya harusi yake iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP) Holl, Dar es Salaam
Bwana Harusi Masoud Masoud akimfunua mkewake Amina Mtemvu wakati wa haflaya yao iliyofanyika Dar es Salaam katika Ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP) Holl, Dar es Salaam
Mama wa Bi harusi Amina Mtemvu akiwa katika pozi na watoto wake
Picha ya pamoja ya wazazi na watoto wao (kulia) ni mama wa bwana harusi na kushoto ni mama wa biharusi
Mwimbaji
wa bendi ya Gusagusa, Ally Hassan akighani wakati kundi hilo
lilipokuwa likitoa burudani katika sherehe ya harusi ya Amina Mtemvu
iliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.