![]() |
Bwana Jonas Songora na Bi. Benitha Tebuka wakiwa katika red carpet kwenye ukumbi wa sherehe Gold Crest Mwanza, baada ya kufunga ndoa takatifu katika kanisa la AICT Makongoro jijini humo. |
![]() |
Wakivalishana pete kuwa mwili mmoja... |
![]() |
Vyeti vya ndoa.....!! |
![]() |
WapambeZ...! |
![]() |
Bi harusi Benita Tebuka katika pozi na dadaz kabla ya sherehe. |
![]() |
Zwanga photo na Selfie... |
![]() |
Mke ni pambo..... |
![]() |
Who is next? |
![]() |
Jonas & Benitha. |
![]() |
Siku ya Furaha yenye historia. |
![]() |
Mr & Mrs David Simba ndiyo waliopata dhamana ya kusimamia harusi hiyo. |
![]() |
Jonas & Benitha take one. |
![]() |
Jonas & Benitha take two. |
![]() |
Wow...that's good muonekano. |
![]() |
Men in Black. |
![]() |
Matayarisho kuelekea sherehe ya harusi... |
![]() |
Taswira adimu. |
![]() |
Ninyweshe nikunyweshe....Furahia utamu wake. |
![]() |
The cake. |
![]() |
Hatariiiiii... |
![]() |
Engo adimu. |
![]() |
Furaha wacha itawale. PICHA NA ABC STUDIO MWANZA. ILI KUPENDEZESHA HARUSI YAKO BASI TUWASILIANE. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.