Mhe. Mbowe ahoji juu ya suala la la jeshi la polisi kuweka makatazo kwa baadhi ya vyama vya kisiasa kutokufanya kazi za kisiasa. Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa atoa ufafanuzi juu ya namna ya kuboresha ukusanyaji wa mapato mbalimbali.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment