ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, December 27, 2015

VIEW ZA JEMBE BEACH RESORT MWANZA.

Nikiwa na Dj namba moja wa Kazi na Ngoma Jembe Fm  Dvj Frank (kulia), Fundi mbambe (kati) nami Gsengo... mdogo mdogo at Jembe Beach Mwanza Tanzania. 
The menu....
Dr. Jembe (kati), Dvj Frank (kulia) na moja ya ma memba wa Jembe Family.

(Service)
Mimina mimina kwa main bar.
Moja kati ya view za hatari utakazoziona ukiwa Jembe Beach Mwanza Tanzania.
Another angle mazee.
Paradiso ya Jembe Beach eneo ambalo hukodishwa kwa harusi, sherehe mbalimbali na mikutano ya nje.
Njia ya kuelekea ukumbi wa Jembe Beach..
The view ya ziada ambayo ungetamani kuwapo.
Yard ya Jembe Speed Boat hapa Jembe Beach ...kuelekea Kisiwa cha Mamba
Lango kuu la kuingia Club Jembe, club ambayo bado haija funguliwa rasmi...huduma nje zinaendelea,
Ukidhani kuwa ni ghali sana kuzipata huduma za hapa ...la hasha ....Mathalani bei ya soda na bia ni ile ile ya kitaa.
Vyakula na vihusishi vyake eh bana daaaaaah.
Karibu Jembe Beach Resort Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.