ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, December 31, 2015

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WAKIMBIZI WAINGIAO KINYUME CHA SHERIA.

Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa aviagiza vyombo vya ulinzi na usalama mkoani kigoma kumchukulia sheria mkimbizi yoyote atakayekutwa nje ya kambi kinyume cha sheria. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.