Mmoja wa washiriki wa shindano la mitindo katika Jembeka Campus akitamba ulingoni katika bonge moja la pati lililofanyika jumamosi ya wiki iliyopita pale Jembe Beach resort Mwanza. |
Mkurugenzi wa Jembe Media Group Sebastian Ndege (kulia) akipata picha ya kumbukumbu na DVJ Frank Toka Jembe DJs |
Mmoja wa washiriki wa shindano la mitindo katika Jembeka Campus akitamba ulingoni katika bonge moja la pati lililofanyika jumamosi ya wiki iliyopita pale Jembe Beach resort Mwanza. |
Mikogo...na minato. |
Zile cat walk sasa. |
Vazi la ubunifu toka la mmoja wa wanavyuo jukwaani... |
Shabiki na mziki wake. |
Fashonista.. |
Kiasili dizaini. |
Safu ya warembo. |
Mabinti wa vyuo katika vazi la usiku. |
Mshindi akabainishwa. |
Kutoka nchini Kenya Dj Della Cream alikisanukisha mbaya. |
Mashabiki woyoooooo!!! |
Startimes team masoko ikiwakilisha salamu za kampuni kabla ya kutoa zawadi. |
Startimes team masoko ikiwakilisha zawadi kwa mshindi wa kwanza upande wa brothers. |
Kundi bora ni....... |
Bata picha kwa chati at VIP kwenye kona. |
Mezani. |
Gsengo akipata picha na Mzaire Bokilo mmoja wa mamemba wa Jembe Fm 93.7 |
Shabiki namba moja wa Jembe Fm toka wilaya ya Misungwi akiwakilisha kwa foto na Chriss The Dj. |
Dj Zepha (mwenye cap nyeusi na Tshirt White) akiwa na washkaji wenzake Bata Lounge ndani ya Jembe Beach Mwanza usiku wa Jembeka Campus Jam 2015-2016 |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.