Dedc 9,2015.
SHINYANGA
Wafanya biashara wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wamelazimika kufunga biashara huku wananchi wakisitisha shughuli zao kwa takribani masaa 5 kuanzia saa 1 hadi saa 5 asubuhi kufanya usafi ikiwa ni agizo la Rais John Pombe Magufuli. BOFYA PLAY KUSIKILIZA YALIYOJIRI.
Tupe maoni yako

0 comments:
Post a Comment