Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Mhe. Lipumba afunguka alichoteta na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli pindi alipotembelea ikulu hivi karibuni na kusikika ndani ya kipindi cha KAZI NA NGOMA YA JEMBE FM Mwanza. BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment