![]() |
| Oh my bATa Good.....Mc Bonz kutoka 93.7 Jembe Fm Mwanza akifanya yake ndani ya kusanyiko la kutambulisha eneo la uwekezaji la biashara la Mwanza City Mall lililopo Kirumba jijini hapa. |
![]() |
| Mmoja kati ya wakali kutoka Yamoto Band Maromboso akimpa ukarimu shabiki wake. |
![]() |
| Mtangazaji wa show ya mchana HIT ZONE, Mbaba Vc akisema na raia. |
![]() |
| Yamoto kwa stage. |
![]() |
| Kutuzwa nako kulikuwepo. |
![]() |
| Mwanza mikono juu. |
![]() |
| Cheza kwa madoido. |
![]() |
| Hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...........................!! |
![]() |
| G Sengo. |
![]() |
| Sema nao. |
![]() |
| Sauti adimu.................. |
![]() |
| Mtangazaji wa kipindi cha muziki wa Reggae ndani ya Jembe Fm kijulikanacho kama RIDDIM ZONE, Cool Chata akitoa burudani kupitia songi lake 'Kanyagia Systerm' |
![]() |
| .....Kanyagia System... |
![]() |
| Bonz. |
![]() |
| The area. |
![]() |
| Kutoka kushoto ni Chriss The Dj akiwa na Dvj Frank. |
![]() |
| Deejay Kflip |
![]() |
| Burudani za wazalendo. |
![]() |
| Hapa mmpaka kukakucha kidoooooOOoooogo...!! |
Tupe maoni yako



















0 comments:
Post a Comment