ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, December 17, 2015

HARUSI YA DAVID NA VANESSA ILIVYOFANA JIJINI MWANZA.

Mara baada ya kufunga ndoa takatifu katika kanisa la AICT Makongoro na kisha kufuatiwa na sherehe ya kufana baadaye jioni katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Mwanza, David na Vanessa walifika katika ufukwe wa Bismark Rock jijini Mwanza kwaajili ya kupata picha za kumbukumbu.
"Wewe ni wangu" alisikika David akimwambia Vanessa.
Toka eneo moja hadi jingine maharusi hawa alitumia usafiri huu.
Maharusi na wapambe wao.
Bi Vanessa.
Mtoko wa jioni....
Maharusi na ndugu zake David.
Wow....
Bi. Vanessa.
Check time na Mr. David Simba.
Ukumbi wa harusi.
Bi. Vanessa.
The colour.
Jinsi walivyokutana.
Ze Usafiri.
Kisha mtoto akaingia kingi kwa David.....!!!
Harusini maharusi walikuwa wa kwanza katika kutoa ukarimu kwa waalikwa kuwapatia chakula.
Mikato ya Bwana harusi akiwa na mpambe wake..
Flowers na Bi harusi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.