![]() |
Zawadi ya flat screen TV kwa dereva wa bodaboda Mwanza katika Onyesho la Boxer BM 100 shughuli iliyoruka LIVE kupiti aJembe Fm toka viwanja vya Magomeni Kirumba. |
![]() |
Mafundi wa Bajaji Auto Company wakitoa service ya bure kwa madereva wa bodaboda Mwanza katika Onyesho la Boxer BM 100 viwanja vya Magomeni Kirumba. |
![]() |
Mara baada ya service....Sasa tayari kwa huduma..... |
![]() |
Mamia ya madereva walifika viwanjani hapa na pikipiki zao kupigwa service. |
![]() |
Service zikiendelea ... |
![]() |
Safiiiii.... |
![]() |
Watangazaji wa Jembe Fm 93.7 wakifanya mazungumzo na baadhi ya madereva wa bodaboda Mwanza. |
![]() |
OB Van ya 93.7 |
![]() |
Magomeni Kirumba. |
![]() |
Red Carpet ya Bajaj Auto Service ilikuwa hivi. |
![]() |
Bodaboda... |
![]() |
Kazi inaendelea... |
![]() |
Ze vyomboz vya usafiri. |
![]() |
Mtangazaji wa Jembe Fm Bonz Akihusika kwa hewa 93.7 |
![]() |
Pia kulikuwa na mauzo ya pikipiki aina ya Boxer ambapo licha ya majaribio kwa vyombo hivyo vya usafiri pia madereva wapya walipewa mafunzo ya udereva kwa vitendo viwanjani hapo. |
![]() |
Wadau wa Bajaj Auto Company wakijadiliana kuhusu huduma wanazozitoa. |
![]() |
Mtangazaji wa Jembe Fm Jacline Shuma akifanya mahojiano na Mkurugenzi wa Bajaj Auto Company Tawi la Mwanza. |
![]() |
Spare na Vipuli vilikuwepo eneo la huduma. |
![]() |
Uandikishaji pamoja na mauzo. |
![]() |
Hapa kazi tu!!. |
![]() |
Kazi kazini....na KAZI NA NGOMA. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.