Kitendawili cha Rais Magufuli hatimaye chateguliwa, amteua Mh.Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. BOFYA VIDEO KUSIKIA KILICHOJIRI HAPA BUNGENI DODOMA LEO.
Mbunge wa Jimbo la Sumve Mhe. Richard Ndassa akizungumza na Mwakilishi wa Jembe Fm 93.7 Albert G. Sengo pamoja na mwanahabari James George wa Star Tv kutoka katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waheshimiwa wabunge wakitete na mdau wa Habari mkongwe ambaye pia ni Blogger maarufu Afrika Issa Michuzi wa Michuzi Jr.
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025...
0 comments:
Post a Comment