Mtoto mmoja mkazi wa kijiji cha Chapulwa kata ya Mwendakulima wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga amefariki dunia kwa kuangukiwa na ukuta wa nyumba kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo. BOFYA PLAY KUSIKILIZA TUKIO.
Tupe maoni yako
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.