Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu (CCM) (mwenye kofia) akimkabidhi nahodha wa timu ya Ferry Beach Boys, Selemani Ally 'Kaseja' nyaraka za Pikipiki hiyo Dar es Salaam leo ambayo ilikuwa ni moja ya ahadi yake kwa kikosi hicho wakati wa kampeni.(PICHA NA KHAMISI MUSSA) |
Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu (CCM) (mwenye kofia) akimkabidhi nahodha wa timu ya Ferry Beach Boys, Selemani Ally 'Kaseja' namba ya Pikipiki Dar es Salaam leo. |
Zungu amesema ilikuwa ni moja ya ahadi yake kwa kikosi hicho wakati wa kampeni alipofika kituoni hapo wakati alipopita kumuombea kura aliyekuwa mgombea Urais Mgufuli kupitia Chama cha Mapinduzi CCM ili iwasaidie kujikusanyia kipato kwa njia hiyo ya kujikusanyia kipato ili wapate nauli wanapokuwa wakienda kucheza kwenye pindi wapatapo mwaliko.
Mbunge huyo aliendelea kusema "nitaendelea kusaidia maswala ya timu na alipewa ombi la timu kusaidia vifaa vya michezo lakini leo nakusaidieni Pikipiki iwe mali ya timu si mali ya mtu" anaendelea kusema Zungu.
"ahadi ya Bodi ya Ferry na bodi hiyo ipo tayari tunasubiri waraka uchapishwe na fikiri kabla ya mwezi wa kumi na mbili kwisha bodi itakuwa imeundwa ili Soko hili liendeshwe na wafanya Biashara wenyewe, na niliweka ahadi ya kuwawekea mahema kwenye maeneo ya wanaouza Samaki maeneo ya wanaopigwa na jua na kabla ya mwezi wa kumi na mbili itakuwa tayari" Alimaliza Zungu.

Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.