Promota wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi akiwa akiwa amebeba jeneza la marehemu Michael Yombayomba kwa ajili ya kwenda kuzika mazishi yaliyofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani jana. |
WAOMBELEZAJI WAKIPELEKA JENEZA LA MArehemu kwenda kuzika |
Mtoto wa marehemu Michael Yombayomba Zakaria Yombayomba akiwasha mshumaa katika kaburi la baBA YAKE JANA. |
Wadau mbalimbali wa mchezo wa masumbwi wakiwa katika kaburi la bondia Michael Yombayomba baada ya kumaliza kuzika katika makaburi yaliyopo Kibaha mkoani Pwani wa tatu kutoka kushoto ni Rajabu Mhamila 'Super D' David Yombayomba, Oscar Manyuka na Jay Msangi. Picha zote na SUPER D BOXING NEWS
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.