Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa kwa Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw. Erwin Telemans alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete viongozi mbalimbali alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wadau alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi wa nchi wafadhili alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mabalozi alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi akiwa ameongozana na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa na mabalozi na watoto wanaopata matibabu wakikata utepe kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuashiria kufunguliwa jengo l bohari ya madawa huku akishuhudiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa
Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa
Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa
Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa
Rais Kikwete akinyunyizia maji mmea a Mbuyu uliopandwa kama kumbukumbu
Rais Kikwete akifunua kitambaa chenye jina la aina ya huo mbuyu
Watendaji na wagonjwa wa Fistula wakishuhudia
Rais Kikwete akiwa na mtoto ambaye mama yake anatobiwa Fistula hospitalini hapo
Rais Kikwete na wadau wengine wakipozi kwa furaha na kinamama walio katika matibabu ya Fistula kutoka kila pembe ya Tanzania
Rais Kikwete akiwapongeza kinamama hao kwa kuwa mashujaa na kujitokeza kutibiwa ugonjwa wa Fistula ambao unatibika
Rais Kikwete akifurahi na mzazi na mtoto anayesubiri kufanyiwa upasuaji wa mdomo-sungura
Rais Kikwete na wote wakimshangilia mtoto ambaye baada ya kupata matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake
Sehemu ya kupumzikia iliyopo karibu na hio canteen mpya iliyozinduliwa
Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw. Erwin Telemans akiongea katika sherehe za kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
Sehemu ya kupumzikia iliyopo karibu na hio canteen mpya iliyozinduliwa
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid
Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa akimshukuru Rais Kikwete kwa kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
Rais Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa, Waziri wa Afya na Mtendaji Mkuu baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
Karibuni vinywaji baridi waheshimiwa...."Anasema mmoja wa wahudumu
Rais Kikwete na watendaji wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
Rais Kikwete na wafadhili wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
Rais Kikwete akiagana na Balozi wa Ujerumani na mabalozi wengine baada ya sherehe hiyo
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.