Matokeo ya uchaguzi Mkuu zanzibar yamefutwa ambapo moja kati ya sababu zilizotajwa za kufutwa matokeo hayo ni pamoja na ukiukwaji wa taratibu na sheria za uchaguzi ikiwemo ya Mgombea wa CUF kujitangazia matokeo. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha ametangaza kufutwa kwa uchaguzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mpaka hapo itakapo tangazwa tena.
SANGU: BODI YA WADHAMINI WCF KUTEKELEZA DIRA 2050
-
Na. OWM-KAM – Dodoma
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) imetakiwa kuweka
mikakati ya kuanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maende...
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment