Wadau hao wanatembelea shule yao ya zamani na kukagua shughuli za uendeshaji na utoaji elimu ikiwa ni sambamba na kuzimaini changamoto zilizopo ambazo zinaendelea kuikabili shule hiyo BOFYA PLAY KUSIKILIZA
| Bwana Mussa Ezekiel akitizama moja ya kengele aliyoiacha mwaka 1992. |
| Kushoto ni Mussa Ezekiel, katikati ni John Semakura na kulia ni Mirambo Mulela wakionyesha mazingira ya shule hiyo ambayo walisoma miaka ya 1992. |
| Hapa walitembelea jiko ambalo waliliacha miaka hiyo ya 1993. |
| Hapo ni Mirambo Mulale akiwa kwenye chumba cha maabara ambacho pia ni changamoto. |
| Hawakuishia hapo walitembelea wanafunzi wa sasa shuleni hapo na kuwatia moyo. |
| Shimo la kisima cha zamani. |
| Kushoto ni John Semakura (L) Mussa Ezekiel (C) na Mirambo Mulela (R) wakiwa eneo la bwawa ambalo limetumika kwa miaka sasa kuhifadhi maji kwa matumizi ya shule hiyo. |
| Mussa Ezekiel akionyesha lango la bweni la wasichana ambalo pia linachangamoto zake. |
| Vyoo vya shule vilivyotumika tangu enzi za Mwinyi. |
| Hapa kulikuwa na kisima. |
| Mbele ya ofisi za shule hiyo ya sekondari. |
| Nje ya mazingira ya shule. |
| Taswira na mazingira. |
| Ndani ya ofisi za mkuu wa shule ya sekondari Nyamilama. |
| Wakibadilishana mawazo na baadhi ya walimu wa shule ya Sekondari Nyamilama. |
| Wakiwa mbele ya bweni ambalo kwa sasa ni la wasichana. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment