| Bi Harusi Hilda katika pozi kabla ya kuingia Ukumbini (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) |
| Bi Harusi mtarajiwa Hilda akiwa amepozi na Matroni wake Felister Mramba, wakati wa Sherehe yake inayo endelea sasa hivi katika ukumbi wa Dolphine |
| Bi Harusi mtarajiwa akipambwa kabla ya kwenda katika Sherehe yakea ambayo inarindima mida hii katika Ukumbi wa Dolphine. |
| Bi Harusi Hilda akiwa katika picha na Matroni. |
| Glory Temu (kushoto) akiwa amemkumbatia shangazi yake ambaye ni Bi Harusi mtarajiwa Hilda Temu, kabla ya kuingia Ukumbini. |
TEMBELEA UJIJIRAHAA BLOG
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment