Leo Ijumaa ndani ya Club Rock Bottom kutakuwa na Special Game Party ambapo kundi la Navy Kenzo linaloundwa na wakali wawiliAika na Nahreel. Pichani Aika akizungumza katika mahojiano ndani ya kipindi cha DRIVE MIXX ya Jembe Fm Mwanza.
BOFYA PLAY KUSIKILIZA KILICHIJIRI.
Leo Ijumaa ndani ya Club Rock Bottom kutakuwa na Special Game Party ambapo kundi la Navy Kenzo linaloundwa na wakali wawiliAika na Nahreel. Pichani Nahreel akizungumza katika mahojiano ndani ya kipindi cha DRIVE MIXX ya Jembe Fm Mwanza.
CRDB YAADHIMISHA MEI MOSI KITAIFA NJOMBE
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Njombe. CRDB Bank Plc imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuunga mkono
wafanyakazi na maendeleo ya taifa kwa kudhamini na kushirik...
0 comments:
Post a Comment