ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 28, 2015

MECHI KATI YA AZAM FC NA MBEYA CITY

Timu za AZAM FC na Mbeya City waanza kusakata kandanda katika viwanja vya Azam vilivyopo Chamanzi jijini Dar Es Salaam; Mlango wa Mbeya City wazidi kupokea mashambulizi kutoka kwa maadui licha ya wachezaji kukosa magoli mara kwa mara Geoffrey Mlawa azidi kuwa tishio katika lango la maadui na kuwafanya mabeki wa Azam kuzidi kukaba kwa umakini wa hali ya juu; Beki Pascal Wawa aonyesha ujuzi wake muruah kabisa baada ya mshambuliaji wa City kugongesha goli bila mafanikio ya kupata bao; Mbeya City waja na kasi mpya baada ya mapumziko lakini Azam nao wasema hawakubali na kumpiga Mbeya city bao la pili; https://youtu.be/gpC3RD8fL20 Baada ya kupata kichapo cha bao la pili Mbeya City nao waamsha hari na kuvuta soksi huku wakijipatia bao la kwanza; https://youtu.be/f68v9BuJDo4zam tv: Mpira unazidi kuwa mwingi huku timu zote mbili zikiendelea kukosa magoli wakati Mbeya City nao waongeza juhudi za kusawazisha magoli zikiwa zimesalia dakika chache tu mpira umalizike ; https://youtu.be/EuESNlYFSXE Mchezo namba 32 wa ligi kuu Vodacom ndivyo unavyoisha ikiwa AZAM FC imeifunga Mbeya City goli 2-1 huku timu zote zikiwa na alama mbili; ;https://youtu.be/S7rzD8-0sEM

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.