Shemejiiiiiii ndiye aliyeleta ule mkate wa shughuli ya birthday kwa Timoth Ngalula aka @MbabaVC wa kipindi cha HIT ZONE ya Jembe Fm 93.7 ....ukiwa na maneno makaliiiiiiiiiiiiiiiiiii......!!! |
Keki sasa inalika na mlishaji ni Mamala mama. |
Mama la mama naye akafurahia utamu wake. |
To Natty E. |
To Le-ProduzaLe Oxxy. |
To Bonz wa HOT STAGE. |
To John Annatory wa SPORTS RIPOTI |
To Harith Jaha wa JEMBE HABARI. |
To Jackline Shuma wa DRIVE mIXX. |
To ChrissThe Dj wa HIT ZONE. |
Zamu ya Dj Hq wa REAL DJ. |
Mwanachama halali wa HOT STAGE Dj Mike Beets hapa naye alikamata pande lake. |
Mkali wa mashine za DRIVE MIXX kipindi kinachoruka ndani ya Jembe Fm majira ya jioni saa 10 hadi saa moja, Dj Ben naye huyooooOOOOOOooooo!! |
Dada Merry. |
Kingkulah Master wa KALI ZA PWANI....jUMAPILILi SAA 8 mchana hadi saa 11 jioni. |
Ze smile. |
Happy Birthday Timoth Ngalula. |
Smile ilimaanisha kitu flani tukioni. |
Wishes wacha zianguke toka kwa team Jembe. |
The Crew. |
Pamoja sana. |
Hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......!!! |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.