ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 28, 2015

KAIMU MUFTI ATOA TAMKO MWANZA

PICHA NO. 3174 KUSHOTO NI
HAAMID JONGO,KAIMU MUFTI WA TANZANIA                                                                                                  
 KULIYA SULEIMAN LOLILA .KATIBU MKUU TANZANIA

Barazakuu la waislamunchini(BAKWATA)limethibitishakufarikiduniakwamahujajiwatanowakutokanchininawengineambaoidadiyaohaijafahamikakujeruhiwakufuatiamsongamanomkubwauliotokeakwenyeeneo lamina nchini Saudi Arabia wakatimahujajiwakielekeakwenyejamaaratambalonieneo la kumbukumbu la kupigamaweshetani .
Akizungumzanawaandishiwahabarijijinimwanzakwaniabaya mufti wa Tanzania aliyekonchini Saudi Arabia katibumkuuwa BAKWATA sheikh SULEIMAN LOLILA amewatakawaislampamojanawatanzaniakuwawatulivuwakatibarazahilolinafuatiliakwa kina haliyamahujajiwaliojeruhiwawakiwemo wale ambaohawajulikaniwaliko.
Amicus butungaanataarifazaidi.
Sikumojabaadayakutokeakwavifovyazaidiyamahujajimiasabakatikaeneo la mina nchini Saudi Arabia wakatimahujajiwakielekeakwenyejamaaratambalonieneo la kumbukumbu la kupigamaweshetani,uongoziwabarazakuu la waislamnchini(BAKWATA)umekutananawaandishiwahabarijijinimwanzakuzungumziamkasahuo.
Taarifayamkasahuoimetolewakwaniabayamufti wa Tanzania aliyekonchinisaudia Arabianakatibumkuuwabakwata sheikh
   1 HAAMID JONGO,KAIMU MUFTI WA TANZANIA                                                                                                  
 2 SULEIMAN LOLILA .KATIBU MKUU TANZANIA
3    HAAMID JONGO,KAIMU MUFTI WA TANZANIA                                                                                                  
Sheikh LOLILA amesemakuwamahujajikutokanchiniambaoidadiyaohaijafahamikanimiongonimwamahujajiambaowalijeruhiwakwenyetukiohilo.pause.
Halikadhalikaakawananenokwawaislampamojanawatanzaniakwaujumla.pause.
Kandoyamkasahuokaimu mufti wa Tanzania HAAMID JONGO amewatakawaislamkufuatiliakwamakinimchakatowauchaguziunaoendeleanchini.pause.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.