ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, September 22, 2015

HASHIM RUNGWE AULIZA WATANZANIA "KWANINI HAMNIAMINI? KWANI MIMI NINA KOSA NINI? BADILIKENI MALOFA WENZANGU....!!

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi  wa Umma (CHAUMMA) Hashim Rungwe akiwa jijini  Mwanza viwanja vya Mbugani wilayani Nyamagana amefanya mkutano wa kuzinadi sera zake sanjari na kuomba ridhaa ya wananchi kumchagua ili awe rais wa awamu ya tano kwa taifa la Tanzania.

Mwandishi wetu Mansour Jumanne wa KAZI NA NGOMA ya JEMBE FM alipata fursa ya kuhojiana naye LIVE baada ya mkutano wake ambao ulianza kwa idadi ndogo ya watu lakini kadri muda ulivyokuwa ukisonga mbele ndivyo umma ulivyokuwa ukitiririka kusanyikoni kusikiliza sera.

BOFYA PLAY KUSIKILIZA MAHOJIANO YAKE LIVE NA JEMBE FM.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.