KAHAMA
Mtu mmoja mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda mwenyeji wa wilaya ya Ngara Mkoani Kagera amefariki dunia muda mfupi baada ya kufikishwa katika Hospitali ya wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga baada ya kugongwa na basi lenye namba za Usafiri T794HKA malin ya Kampuni ya Matunda Express lililokuwa likitokea mjini Kahama kwenda jijiji Dar es salaam. (BOFYA PLAY KUSIKIA KILICHOTOKEA)
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.