Washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula katika picha ya pamoja.
Ni Siku ya 16 huku Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 Msimu wa nne shindano linalo endeshwa na Shirika la Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow, Likiwa linaelekea Ukingoni ambapo katika siku hii tunaona Maisha ya Mama Shujaa wa Chakula walivyo ishi kwa Siku 15, lakini kubwa zaidi ni wakazi wa Kijiji cha Kisanga hususani wale ambao ndio waliokuwa wanaishi na Akina mama hao katika Kaya zao kutoa maoni yao jinsi walivyo ishi na akina Mama hao. Pia hapa tutaona wasifu wa Washiriki wote wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula ambapo kauli mbiu ni 'Wekeza kwa wakulima wadogo wadogo wanawake inalipa'
SHANGWE POPOTE UKIWA NA M-PESA YAWAFIKIA MBEYA
-
*Meneja Biashara wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Nyanda za Juu
Kusini, Magreth Mambai (kushoto) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa mteja
wa ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.