Kampuni ya NOFO ya jijini
Dar es Salaam, inayojihusisha na uchapishaji na uuzaji wa vitabu vya hadithi za watoto, inatangaza nafasi kumi za kazi ya afisa masoko.
Wenye sifa zifuatazo watume maombi kupitia baruapepe ndejarini@gmail.com kwenda kwa GENERAL MANAGER,
NOFO, DSM
(1) Shahadaya kwanza au
stashahada ya juu ya biashara katika masoko
(3) Ari na moyo wa kufikia malengo uliyo wekewa
(4) Uwezo wa kujieleza vizuri mbele ya watu wengi
Mwisho wa kupokelewa kwa
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.