| Mzee akiwa amevaa Picha ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,John Magufuli jana katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam. |
| Wiliam ngereja ajitokeza katika kumunga mkono Magufuli katika ufunguzi wa Kampeni jana jijini Dar es Salaam. |
| Vijana wakiwa wamebebana ili waweze kuona mbele katika ufunguzi wa kampeni za chama cha mapinduzi jana jumapili katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam. |
| Kila mtu na pozi lake. |
| Taswira kutoka nyuma ya kusanyiko hadi mbele jukwaa kuu. |
| Akinamama kusanyikoni. |
| Vijana wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali. |
| Umma wa watanzania uliofurika katika uzinduzi. |
| Engo katikati ya kusanyiko. Picha na Avila Kakingo na Emmanuel Massaka wa Michuzi BLOG. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment