Sehemu ya pili ya mazungumzo yangu na mchezaji wa zamani wa timu za Cop United, Pamba zote za jijini Mwanza pamoja na Simba ya jijii Dare es salaam Juma Amir Maftah al-maarufu kama Pellewa Mwanza, hii hapa. Aeleza visa vitamu na vichungu katika soka. Jeh Ni tukio gani lililo muumiza na hato lisahau? Soka la Mwanza limekwama wapi? Jeh Nani amemuandaa kurithi kipaji chake? BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.