Je umeipata habari inayohusu watoto kutoka Burundi waliokamatwa wakisafirishwa kuelekea Tabora kwa ajili ya ajira ya kilimo?? Wamo pia watoto wa Kitanzania wote wakiwa na umri wa kati ya miaka tisa na 14. Jembe Habari imepiga hodi wilayani Kahama na kufanikiwa kumpata kamanda wa Polisi wilayani humo. Kwa undani zaidi jiunge na Harith Jaha itakapofika saa moja kamili jioni hii katika Jembe Habari ya 93.7 @jembefm Mwanza. BOFYA PLAY KUSIKILIZA Pia siku za juma kila saa moja kamili asubuhi, saa kumi kamili jioni na saa moja kamili jioni.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.