Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati akikabidhi ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akikabidhi nyaraka za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati akikabidhi ofisi ya NEC jijini Dar es Salaam.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.