Tupe maoni yako
Thursday, August 20, 2015
HUYU HAPA MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA AFRICANS FUMO FELICIAN NA HISTORIA YAKE ASIMULIA JINSI SHUTI LAKE LILIVYOCHANA NYAVU.
Usiku wa jana (JUMATANO) katika **SPORTS RIPOTI** ya JEMBE FM 93.7 Kipindi kinachoruka kila siku za wiki saa 21:00 HADI 22:00 (saa tatu hadi saa nne) katika kipengele cha Jukwaa la Wakongwe, tulipata kuzungumza na mchezaji wa zamani wa Timu za Toto Africans, Pamba (zote za Mwanza) na hatimaye Dar es salaam Yanga Africans 1993 - 1995 na Timu ya Taifa la Tanzania Taifa Stars, Mshambuliaji pekee mwenye historia ya kuwa na mashuti ya kuchana nyavu, Fumo Felician. Kama ulipitwa basi sikiliza PART ONE ya yaliyojiri ndani ya **SPORTS RIPOTI** BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment